Now Recruiting for April 2017 Training!
EQWIP Hubs inatoafursa kwaVijana (Kike na Kiume) wa Tanzania kujifunza stadi mbali mbali zitakazowasaidia kujiajiri na kuajiriwa. Kama tunavyoelewa kuwaVijana wa kike wanakabili wanachangamoto Zaidi. Hivyo EQWIP Hubs inapenda kuchukua fursa hii maalum kuwakaribishaVijana wa Kike wanaopendelea kujiunga katika program hii
Ilikuimarisha uwezo wao wakujiamini na kuwapatia uzoefu utakaowasaidia kufanikisha malengo yao ya Maisha kwa pamoja.
Kwa kuomba mafunzo haya yatakayoanza mwezi wa Aprili, 2017 utapata fursa ya kujifunza mawasiliano yamtu binafsi, CV, Uelewa waki digitali, Ukomavu wa kifedha, Ujasiriamali na nyinginezo nyingi! Mafunzo hutolewa kwa lugha ya Kiswahili na kiengereza. Vijana wa kike pia hupata fursa ya kujiunga pamoja na kujadili mambo ya kijinsi naUpatikanaji wa Ajira.
Informations sur l'inscription
Date limite pour s'inscrire
16 mars 2017
Comment s'inscrire
Maombi yataanza tarehe 15 February haditarehe 20 March, 2017. Mafunzo ya ujasiriamali yatakuwa Asubuhi kuanzia saa 3:00 hadi 6:00 Mchana, na Stadi za Kazi yatafanyika Mchana kuanzia saa 8:00 Mchana hadi 11:00 jioni. Hivyo kwa washiriki wote wanaopenda kujiunga mafunzo hayo yatakayotolewa bila ya malipo watatakiwa kushiriki kikamilifu kwa muda wote usiozidi miezi 3, na wale watakaopenda mafunzo ya muda mfupi (siku 1 hadi 3) wanakaribishwa.Vyeti kwa mafunzo yote vitatolewa. Vijana wa kike wanahamasishwa zaidi kuomba mafunzo haya.