EQWIP HUBs ni mtandao wa kimataifa unaotoa nafasi ya ugunduzi kwa kuunganisha na kubadilisha mwelekeo wa kiuchumi wa vijana kupitia ujuzi wa kazi unaoendeshwa na soko, viatamizi vya ujasiriamali, mipango inayotekelezeka ya kijinsia, ushauri, mitandao, na misaada-mbegu kwa wajasiriamali wapya.
Taarifa zaidiJe, wewe kijana wa eneo hili unayetafuta njia ya kuwa mshiriki? Kujua matukio yajayo, warsha, na vikao vya mafunzo yanayotokea katika EQWIP HUB.
Shaib has worked with youth and government for more than 20 years.
KUTANA NA TIMU KAMILIEQWIP HUBs imekirimiwa ufadhili, kwa sehemu, na Serikali ya Canada kupitia Global Affairs Canada.