Taarifa

Tazama zote

Siku ya kuanza kwa Mafunzo

  • Tarehe 3 Aprili 2017
  • Muda 9:00 asubuhi - 4:00 alasiri
  • Mahali EQWIP Hubs


EQWIP Hubs inafuraha kuwajuulisha kwamba awamu mpya ya mafunzo ya stadi za kazi na ujasiriamali itaanza tarehe 3/04/2017 . Hivyo tuna shauku kuwakaribisha washiriki wote wapya katika kituo chetu, ili wapate taaluma zinazohitajika katika kutafuta kazi na kuanzisha biasha zao binafsi. Tunatarajia kukutana nanyi wote !
__
EQWIP Hubs is proud to announce that a new cohort will be starting on April 3, 2017. We are excited to welcome new participants to our Hub, and teach them the soft skills required for finding employment or starting their own business. We are looking forward to meeting everyone!

 
Rudi nyuma kwenye orodha ya matukio