Taarifa

Tazama zote

Warsha ya ujasiriamali kijani (mazingira) nakutengeneza mtandao wa mashirikiano EQWiP Hubs!

  • Tarehe 10 Machi 2018
  • Muda 9:00 asubuhi - 12:00 alasiri
  • Mahali Lumumba Secondary School, Zanzibar


Tafadhali ungana nasi katika warsha yetu ya kwanza ya EQWIP HUBS katika kutengeneza mtandao wa mashirikiano kuhusu ujasiriamali kijani (mazingira) katika siku ya Jumamosi tarehe 10 march 2018.

Hii itakuwa ni fursa kwa washiriki wetu wa sasa na waliopita nyuma kushiriki warsha yetu ili kujifunza kuhusu kuunganisha shughuli za mazingira na ujasiriamali. Hii ni fursa ya pekeea kuainisha vivutio mbali mbali vya mazingira na kujenga mtandao wa masirikiano kwa watu binafsi, mashirika na taasisi zinazofanya kazi katika mausala ya mazingira.

 
Rudi nyuma kwenye orodha ya matukio