Taarifa

Tazama zote

Mahafali

  • Tarehe 16 Machi 2017
  • Muda 2:00 asubuhi - 5:30 asubuhi
  • Mahali EQWIP Hubs Mwanakwerekwe


EQWIP HUBs Zanzibar inafuraha kutangaza kufanyika kwa mahafali ya washiriki wa mafunzo ya Ujasiriamali na Stadi za kazi , Awamu ya 6 na 7 ! Tunafahari kubwa kusheherekea mafanikio ya washiriki wetu pamoja na familia na marafiki wao . Sherehe hizo zitahudhuriwa na Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Vyuo vya Amali Zanzibar, Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana pamoja na Mgeni Rasmi wa shughuli hiyo.

Tafadhali ungana nasi kusheherekea mafanikio ya washiriki wetu hapo EQWIP HUBs Zanzibar, Kituo cha Amali Mwanakwerekwe .

 

Kwa mawasiliano

Rudi nyuma kwenye orodha ya matukio