Taarifa

Tazama zote

Mkutano wa kamati ya Ubunifu na Ushauri (Innitiative Advisory Team)

  • Tarehe 24 Machi 2017
  • Muda 9:00 asubuhi - 11:30 asubuhi
  • Mahali EQWIP Hubs


EQWIP Hubs inatarajia kufanya mkutano wa kamati ya Ubunifu na Ushauri (IAT) . IAT inajukumu la kutoa ushauri, muongozo na mapendekezo juu ya kuhakikisha mchango na ushiriki wa wadau katika maamuzi na utekelezaji wa shughuli mbali mbali za program hii. IAT inatekeleza jukumu la msingi la kuhakikisha Vijana wa Tanzania wanashirikishwa katika uandaaji ,uongozi na utekelezaji wa miradi.

 
Rudi nyuma kwenye orodha ya matukio