Pemberitahuan

Lihat semua

Mkutano wa kamati ya Ubunifu na Ushauri (Innitiative Advisory Team)

  • Tanggal 24 Maret 2017
  • Waktu 09.00 - 11.30
  • Lokasi EQWIP Hubs


EQWIP Hubs inatarajia kufanya mkutano wa kamati ya Ubunifu na Ushauri (IAT) . IAT inajukumu la kutoa ushauri, muongozo na mapendekezo juu ya kuhakikisha mchango na ushiriki wa wadau katika maamuzi na utekelezaji wa shughuli mbali mbali za program hii. IAT inatekeleza jukumu la msingi la kuhakikisha Vijana wa Tanzania wanashirikishwa katika uandaaji ,uongozi na utekelezaji wa miradi.

 
Kembali ke daftar event/kegiatan